Tuesday, 7 June 2016

Zipate hizi faida za papai kiafya,kuanzia mbegu, mizizi na majani yake


PAPAI ni moja ya tunda ambalo si geni miongoni mwa watu wengi hapa nchini na wengi wetu tunalifahamu tunda hili, lakini huenda hatuzifahamu faida zake ndani ya miili yetu.

Asili ya tunda hili ni huko Kusini mwa Mexico na Amerika ya Kati, licha ya kwamba kwa sasa tunda hili linapatika sehemu mbalimbali duniani ikiwa ni pamoja na Tanzania.

Zifuatazo ni faida tano za matumizi ya papai kiafya:
1. Huboresha mmeng’enyo wa chakula tumboni

2. Husaidia kulinda afya ya ngozi na kuifanya isiharibike

3. Huimarisha afya ya moyo

4. Ni miongoni mwa matunda yanayoweza kuzuia matatizo ya saratani

5. Huimarisha kinga za mwili.

Hayo ni machache kuhusu tunda hili la papai, lakini kwa ufafanuzi zaidi wa namna ya kuliandaa tunda hili na kulitumia kama tiba unaweza kufuatilia gazeti la TAMBUA siku ya Ijumaa ya tarehe 10/06/206 na utapata kujua jinsi ya kutumia tunda lenyewe la papai, mbegu zake, mizizi yake na majani yake na utajua mengi zaidi kuhusu faida za tunda hilo kiafya.

Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana na Tabibu Abdallah Mandai kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800.

No comments:

Post a Comment