Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Saturday, 30 July 2016

Aina 5 za matunda yenye uwezo wa kupunguza tatizo la nguvu za kiume

Habari za leo mdau wangu wa tovuti yetu ya www.dkmandai.com bila shaka utakuwa upo vizuri Jumamosi hii karibu tuendelee kufahamishana umuhimu wa lishe bora pamoja na matunda mbalimbali kiafya.

Leo ninayo orodha ya matunda ambayo huweza kusaidia kupunguza tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kutokana na virutubisho yaliyonayo.

1. Embe 
Kwa embe hili linauwezo wa kupunguza tatizo hilo la upungufu wa nguvu za kiume kutokana na kuwa na vitamin E ambayo huwa na nafasi kubwa ya kuongoza hisia za kushiriki tendo la ndoa.

Tikitimaji 

Hili ni miongoni mwa tunda nzuri pia kwa wenye tatizo hilo kwani husaidia kuboresha mzunguko wa damu ndani ya mwili jambo ambalo huweza kumsaidia mwanaume mwenye upungufu wa nguvu za kiume kupata ahueni.

Komamanga

Tunda hili lina kirutubisho kiitwacho antioxidants ambacho nacho huimarisha mzunguko wa damu kuwa vizuri ndani ya mwili na hivyo kupunguza ukubwa wa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

Parachichi

Ndani ya tunda hili kuna utajiri wa madini ya potassium, vitamin B6, vitamin E kwa pamoja virutubisho hivyo husaidia kuboresha afya ya moyo na kurekebisha mzunguko wa damu kuwa vizuri zaidi.

Ndizi

Ndani ya ndizi kuna madini ya potassium ambayo pia huwa na mchango kwenye masuala ya tendo la ndoa.

Unaweza kuuliza chochote kuhusu matunda na virutubisho vyetu. Tupigie sasa kwa simu namba +255 716 300 200/ +255 769 400 800/ +255 784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment