Monday, 25 July 2016

Dk.Tamba amwaga sifa kwa gazeti la Tambua

Tabibu maarufu nchini Al- Hajj Dk Tamba amesema kuwa gazeti la Tambua ni miongoni kati ya magazeti ambayo amekuwa akiyafuatilia sana na kulipenda.

Hayo ameyasema hivi karibuni mara baada ya kutembelea ofisi za gazeti hilo zilizopo Ukonga, Mongolandege nakusema kuwa miongoni mwa habari anazozipenda kupiyia gazeti hilo ni pamoja na habari za siasa ambazo huandikwa kwa kina na ustadi mkubwa.

Al- Hajj Dk Tamba akisaini kitabu cha wageni alipowasili ofisi za Tambua


No comments:

Post a Comment