Tuesday, 5 July 2016

Fahamu faida za majani ya muembe na kokwa lake kiafya hapa


UHALI gani msomaji wangu wa www.dkmandai.com karibu tuendelee kufahamishana mambo mbalimbali kuhusu mimea tiba na matunda na kama utakuwa ni mfuatiliaji mzuri wa tovuti hii utakumbuka kuwa siku mbili hizi tumekuwa tukielezana kuhusu faida za embe na leo tutamalizia kuhusu faida za majani ya mwembe na kokwa lake.

Zifuatazo ni faida za majani ya muembe kiafya:

1. Husaidia kutuliza matatizo ya upumuaji. Mfano ‘Asthma’

2. Majani ya muembe pia hutuliza maumivu ya sikio

3. Husaidia kutatua matatizo ya koo.

4. Majani ya muembe pia husaidia kuondoa sumu tumboni

5. Husaidia pia kutibu matatizo ya ngozi


Baada ya kufahamu faida hizo za majani ya mwembe sasa tufahamu hizi faida kokwa la embe

1. Husaidia kulinda afya ya kinywa

2. Hutumika kutatua tatizo la mba

3. Husaidia kurahisiha mzunguko wa damu mwilini

4. Husaidia kwa wale wenye midomo mikavu ‘dry lips’

5. Husaidia kushusha kiwango cha sukari kwenye damu. 

Unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba +255 769 400 800/ +255 716 300 200/ +255 784 300 300 au Barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment