Thursday, 7 July 2016

Fahamu kuhusu matumizi ya juisi ya tikitimaji kiafya


Faida 5 za juisi ya tikitimaji
1. Juisi ya tikiti maji husaidia kumkinga mhusika dhidi ya pumu, kiharusi pamoja na matatizo ya

2. Unapokunywa glasi moja ya juisi ya tikitimaji husaidia kukinga matatizo ya saratani ya tumbo

3. Juisi ya tikitimaji hutuliza maumivu ya viungo yaani 'arthritis',

4. Huwasaidia wale wenye pumu wenye shida ya mawe kwenye figo.

5. Juisi ya tikiti maji humpatia mnywaji madini ya ‘calcium’ ambayo husaidia kuimarisha afya ya mifupa mwilini.


Usisite kuwasiliana nasi kwa maelezo zaidi au ushauri  tupigie kwa simu namba zifuatazo: +255 716 300 200/ +255 769 400 800/ +255 784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment