Thursday, 7 July 2016

Faida 5 za kiafya ambazo zitakuhamasisha kuanza kula tikitimaji leoFaida 5 za tikitimaji kiafya
1. Hupambana na mfumo mbovu wa umeng’ejaji chakula tumboni

2. Matumizi ya tikitimaji pia husaidia kuzuia tatizo la mwili kuvimba

3. Tikitimaji pia husaidia kupambana na homa za asubuhi ‘Morning sickness’

4. Tikitimaji pia husaidia kuzuia upungufu wa maji mwilini

5. Matumizi ya tikitimaji husaidia kutuliza na maumivu ya misuli

Usisite kuwasiliana nasi kwa simu namba +255 716 300 200/ + 255 769 400 800/ +255 784 300 300 au Barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment