Friday, 1 July 2016

Faida 5 za kutumia majani ya mpera

Mapera ni miongoni mwa matunda ya msimu ambayo yanaelezwa kuwa na virutubisho mbalimbali ambavyo ni muhimu mwilini.

Zifuatazo ni faida tano za majani ya mpera

1.Chai ya majani ya mpera pia husaidia kushusha kiwango cha sukari mwilini na kuzuia mwili kuondoa insulini hivyo wagonjwa wa sukari wanashauriwa kuitumia mara kwa mara

2.Chai ya majani ya mpera hupunguza lehemu mbaya mwilini bila kudhuru lehemu nzuri

3.Chai ya majani ya mpera ina uwezo wa kudhibiti vijidudu vya magonjwa mwilini hasa vinavyosababisha magonjwa ya kuharisha .

4.Chai ya majani ya mpera hutuliza mchafuko wa tumbo na husaidia kukabiliana na madhara yaletwayo na sumu za vyakula mbalimbali vya kila siku

5.Chai ya majani ya mpera inatibu matatizo ya pumzi na kukohoa

No comments:

Post a Comment