Saturday, 9 July 2016

Faida 6 za kula ndizi mbivu mara kwa mara

Maajabu 6 ya ndizi mbivu kiafya

1. Ndizi huusaidia mwili kupata nguvu za kutosha kwa mlaji.

2. Ndizi zina virutubisho vingi ikiwa ni pamoja na protini

3. Ni tunda zuri kwa watu wenye upungufu wa damu ‘anemia’

4. Ndizi husaidia kupambana na shinikizo la damu.

5. Pia ndizi husaidia kuimarisha afya ya mifupa.

6. Ndizi pia hutuliza maumivu ya kung’atwa kwa wadudu

Usisite kuwasiliana nasi kwa maelezo zaidi au ushauri tupigie kwa simu namba zifuatazo: +255 716 300 200/ +255 769 400 800/ +255 784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment