Monday, 11 July 2016

Faida 5 za kutumia mafuta ya mzaituni


Mafuta ya mzaituni yanafaida nyingi kwa afya ya mwanadamu leo ninazo baadhi ya faida za mafuta hayo kama ifuatavyo:-

Husaidia kulainisha ngozi, lakini pia kwa wanawake ambao hupendelea kutumia makeup huweza kutumia mafuta haya wakati wa kuondoa makeup hiyo.

Huimarisha afya ya nywele na kusaidia kusafisha kucha

Hupunguza uwezekano wa kupatwa na saratani hususani ile ya matiti, lakini pia husaidia kuimarisha afya ya mifupa.

Hupunguza uwezekano wa kukumbwa na tatizo la mawe kwenye figo

Kwa maelezo zaidi au ushauri kuhusu matumizi ya mafuta haya ya mzaituni usisite kuwasiliana nasi kwa simu namba +255 716 300 200/ +255 769 400 800/ +255 784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment