Tuesday, 5 July 2016

Faida za mbegu za tikitimaji kiafya


1. Huimarisha kinga ya mwili
Mbegu za tikitimaji limesheheni madini ya ‘magnesium’ ambayo ni muhimu kwa kuimarisha kinga ndani ya mwili, lakini pia ndani ya tikitimaji kuna vitamin C ambayo huukinga mwili dhidi ya magonjwa mbalimbali.

2. Husaidia kutozeeka mapemaNdani ya mbegu za tikitimaji kuna kirutubisho kiitwacho ‘antioxidant’ ambayo husaida kulinda afya ya ngozi.

3. Hupunguza uwezekano wa kupatwa na shinikizo la damuMiongoni mwa virutubisho ambavyo hupatikana kwenye mbegu za tikitimaji ni pamoja na ‘arginine’ ambayo husaidia kulinda dhidi ya matatizo ya shinikizo la damu.

4. Mbegu za tikitimaji ni nzuri kwa afya ya moyoUwepo wa madini ya ‘magnesium’ ndani ya mbegu za tikitimaji husaidia kulinda afya ya moyo.

Unaweza kuwasiliana na Tabibu Abdallah Mandai kwa simu namba +255 716 300 200/ +255 769 400 800/ +255 784 300 300 au Barua pepe dkmandaitz@gmail.com


1 comment: