Tuesday, 26 July 2016

Hatua 4 muhimu za jinsi ya kutumia nyanya kumaliza tatizo la chunusi


Nyanya ni moja ya kiungo kikubwa ambacho mara nyingi tumezoea kukitumia jikoni hasa katika kuunga mboga mbalimbali.

Lakini leo napenda kukufahamisha kuhusu namna ya kutumia kiungo hiki katika kuondoa tatizo la chunusi.

Kuna hatua nne za kutumia kiungo hiki katika kujisaidia na kuondokana na tatizo la chunusi.

1. Hatua ya kwanza ni kuosha nyanya moja na kisha utasaga na upate rojorojo yake

2. Hatua ya pili utahitajika kupaka rojorojo hilo la nyanya sehemu zilizoathirika au zenye chunusi

3. Baada ya hapo acha rojorojo hilo usoni kwa muda wa dakika 20 hadi 30.

4. Hatua ya nne chukua maji ya uvuguvugu kisha nawa uso wako vizuri.

Kwa maelezo zaidi usisite kuwasiliana nasi kwa simu namba +255 716 300 200/ +255 769 400 800/ +255 784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment