Wednesday, 6 July 2016

Hizi hapa faida nyingine za mbegu za tikitimaji

Umuhimu wa tikitimaji kiafya

1. Husaidia kuimarisha kinga ndani ya mwili

2. Husaidia afya ya ngozi na kuifanya iendelee kuonekana vizuri hata pale umri unapokuwa umesogea

3. Mbegu za tikitimaji ni nzuri kwa kulinda afya ya moyo.

4. Mbali na hayo, pia mbegu hizo husaidia

5. Sambamba na hayo, tikitimaji pia hupunguza uwezekano wa shinikizo la damu

Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana na Tabibu Abdallah Mandai kwa simu namba +255 716 300 200/ +255 769 400 800/ +255 784 300 300

No comments:

Post a Comment