Tuesday, 12 July 2016

Huu ndio umuhimu wa kutumia mafuta ya karanga kiafya


Watu wengi tunakula karanga pasipo kufahamu umuhimu wake katika afya zetu, kwani miongoni mwetu hudhani karanga ni kama kiburudisho tu, lakini ukweli ni kwamba karanga si chakula cha kupuuzwa kutokana na faida zake.

Faida za mafuta ya karanga kiafya

Kwanza ni mazuri kwa afya ya moyo,

Husaidia kulinda afya ya ngozi ikiwa ni pamoja na kuondoa tatizo la chunusi .

Husaidia kutuliza maumivu ya tumbo

Mafuta ya karanga ni mazuri kwa shughuli za uchuaji wa viungo

Pia mafuta ya karanga husaidia umeng’enyaji wa chakula tumboni

Kwa maelezo zaidi ushauri au maoni unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba +255 716 300 200/ +255 769 400 800/ +255 784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment