Friday, 8 July 2016

Je, unafahamu faida za maua ya mgomba kiafya? zote zipo hapa soma


NDIZI ni moja ya tunda zuri na lenye virutubisho vingi ambavyo huwa na manufaa kwa afya ya mwanadamu.

Inaelezwa kuwa miongoni mwa nchi ambazo tunda hili hupatikana kwa wingi ni pamoja na Asian.

Mara nyingi tumekuwa tukihamasika zaidi kufahamu faida za tunda hili, lakini leo napenda mfahamu faida za maua ya mdizi.

Kutokana na umbo la maua ya mndizi yalivyo imesababisha baadhi ya watu kufananisha uwa hilo na (moyo wa ndizi) ‘banana heart’

Moja ya faida za maua hayo ni pamoja na kuthibiti kiwango cha sukari ndani ya mwili pamoja na kusaidia kuthibiti maambukizi mbalimbali ndani ya mwili.

Maua ya mgomba (mndizi) pia husaidia wanawake wenye matatizo ya kutokwa na damu nyingi wakati wanapokuwa kwenye siku zao.

Maua hayo pia yamesheheni virutubisho vya aina mbalimbalu pamoja na madini, miongoni mwa virutubisho hivyo ni pamoja na vitamin A,C na E, pamoja na madini ya potassium.

Mbali na faida hizo, pia maua hayo husaidia kinamama wanaonyonyesha kuongeza kiwango cha maziwa ili kufahamu zaidi unaweza kupiga simu kwa namba hapo chini.

Kama ungependa kufahamu maua haya ili yawe na manufaa kwa afya yako unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba +255 716 300 200/ +255 769 400 800/ +255 784 300 300 au Barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment