Monday, 11 July 2016

Je, unajua umuhimu wa maji ya limao? faida zake 8 zipo hapa


Fahamu faida 8 za maji ya limao


1: Huchochea mmeng’enyo wa chakula tumboni

2: Huboresha kinga za Mwili

3: Husaidia Kinga dhidi ya Saratani

4: Husaidia kupunguza hatari ya kiharusi

5: Husafishaji damu mwilini

6: Kurekebisha sukari katika mwili

7: Dawa ya kikohozi na mafua

8: Inasaidia kurekebishaji wa ngozi na kupona makovu

Kwa maelezo zaidi au ushauri kuhusu matumizi ya limao usisite kuwasiliana nasi kwa simu namba +255 716 300 200/ +255 769 400 800/ +255 784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment