Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Saturday, 16 July 2016

Siri za umuhimu wa parachichi kiafya


PARACHICHI ni miongoni mwa matunda yenye ladha nzuri na ni maarufu duniani kote. Kutokana na utamu na wingi wake wa mafuta, unaweza kudhani siyo tunda zuri kiafya, lakini ukweli tunda hilo ni msaada mkubwa kwa binadamu.

Hupatikana kwa wingi katika mikoa ya Mbeya, Tanga na Kilimanjaro na limesheheni virutubisho takriban 20 ambavyo ni muhimu kwa ustawi wa afya zetu.

Tafiti mbalimbali zinaonesha kuwa watu wenye mazoea ya kula tunda hilo kwa wingi huwa na afya njema na uzito unaokubalika kiafya.

Unaweza kutazama video hii hapa chini ili kupata ufafanuzi zaidi kuhusu tunda la parachichi na faida zake>>

No comments:

Post a Comment