Saturday, 30 July 2016

Tatizo la nguvu za kiume tumeshasikia sana,leo ni zamu ya kufahamu tatizo la nguvu za kike

Ni nadra sana kusikia watu wakizungumzia matatizo ya nguvu za kike, badala yake tumekuwa tukisikia matatizo sana kuhusu nguvu za kiume.

Mtaalam wetu Abdallah Mandai anasema wanawake wengi wanasumbuliwa na matatizo ya nguvu za kike, lakini kutokana na tatizo hilo kuwa wazi zaidi kwa wanaume kwa maana ya maumbile yao, ni rahisi kujulikana huku wanawake wengi wakikabiliwa nalo lakini halijulikani.

Tatizo hili huwa ni ngumu kujulikani kwa sababu si rahisi kumgundua mwanamke mwenye tatizo hilo na hili ni kwa sababu wanawake wengi wenye tatizo hili hujifanya kama hawana shida hii na pale wanapokuwa na mwanaume huonesha kwamba wanahisia ya kutaka kufanya tendo la ndoa huku uhalisia ukiwa ni kwamba hawajisikii chochote.

Mara nyingi tatizo hili huweza kuchangiwa na homoni za mwanamke kutokuwa za kawaida au kuwa za juu zaidi ama chini.
Kiwango cha chini cha homoni kunamfanya mwanamke kukosa hisia za kufanya tendo hilo licha ya kwamba anaweza kuonekana kama hana tatizo hilo.

Hata hivyo mtaalam huyo anaeleza kuwa ni vigumu wanawake kueleza matatizo yao ya kutojisikia hamu ya tendo la ndoa ukilinganisha na wanaume.

Pamoja na hayo, mtaalam wetu anashauri kuwa mwanamke mwenye tatizo hilo anaweza kutumia mboga za majani kwa wingi pia kula tende.

Kwa mengine mengi zaidi unaweza kuwasiliana na mtaalam wetu moja kwa moja kwa simu namba +255 716 300 200/ +255 769 400 800/ +255 784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment