Tuesday, 26 July 2016

Tukumbushane hizi faida 4 za majani ya mlonge kiafya


HABARI za leo mdau wangu wa www.dkmandai.com karibu sana tuweze kufahamishana kuhusu mimea tiba yetu tuliyobalikiwana na Mwenyezi Mungu na hapa leo ninazo sifa za matumizi ya majani ya mlonge.

1. Majani ya mlonge yanapotengenezwa kama juisi hutumika kusafisha tumbo na kutoa ahueni kwa  magonjwa ya zinaa.

2. Pia juisi itokanayo na majani ya mlonge inauwezo wa kuwasaidia wale wenye tatizo la shinikizo la damu na kudhibiti viwango vya sukari kwa wagonjwa wenye kisukari.

3. Majani hayo hayo ya mlonge pia huweza kupakwa mwilini kwa lengo la kusaidia matatizo ya majipu na maambukizi ya ngozi.

4. Majani ya mlonge ni chanzo kizuri cha virutubisho vingi ikiwa ni pamoja na vitamin C, vitamin A, pamoja na madini ya 'Calcium' na 'Potassium' 

Kwa mengine mengi zaidi usisite kutupigia kwa simu namba +255 716 300 200/ +255 769 400 800/ +255 784 300 300.

No comments:

Post a Comment