Monday, 11 July 2016

Zifahamu faida 3 za kutumia mimea tiba


Tanzania ni miongoni kati ya nchi zilizojaliwa na Mwenyezi Mungu  kuwa na mimea mingi na miongoni kati ya mimea hiyo imekuwa ni msaada mkubwa kwa jamii kutokana na uwezo wake wa kutibu magonjwa mbalimbali tangu enzi za wazee wetu hadi sasa.

Kwa kawaida si rahisi kila mtu kufahamu kuhusu uwezo wa mimea katika matibabu, lakini pia kuna baadhi ya watu ambao wamekuwa na uelewa wa kuitambua mimea tiba kutokana na uwezo walioupata kupitia kupata elimu ya mimea, lakini wengine wamekuwa na uwezo wa kuitambua mimea hiyo kutokana na kurithishwa uelewa huo na wazee wao.

Hata hivyo, kadri siku zinavyozidi kwenda mimea tiba imeonekana kuzidi kufanya vizuri katika masuala ya matibabu na kufanya baadhi ya watu kuwa na imani kubwa na tiba zitokanazo na mimea.

Leo napenda utazame video hii hapa chini ambapo Tabibu Abdallah Mandai kutoka Mandai Herbalist Clinic anaeleza faida 3 za kutumia tiba zitokanazo na mimea>>


Kwa maelezo zaidi au ushauri usisite kutupigia kwa simu namba +255 769 400 800/ + 255 716 300 200/ +255 784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment