Wednesday, 13 July 2016

Zifahamu faida 5 za juisi ya tangawizi mwilini mwako


FAIDA ZA JUISI YA TANGAWIZI KIAFYA

Manufaa ya tangawizi kiafya huwa ni mengi kutokana na kiungo hiki kuwa na vitamin pamoja na madini mengi ndani yake.

Leo napenda kukufahamisha hizi faida za juisi ya tangawizi kiafya

Husaidia kupunguza maumivu ya viungo sehemu mbalimbali za mwili.

Juisi ya tangawizi pia hupunguza hatari ya kupatwa na saratani

Pia juisi ya tangawizi huboresha umeng’enyaji wa chakula tumboni

Juisi ya tangawizi huusaidia mwili kutengeneza joto hivyo hufaa zaidi wakati wa baridi.

Juisi ya tangawizi pia hutumika katika masuala ya urembo ambapo huboresha afya ya nywele na kusaidia kuondoa chunusi.

Naamini kwamba unatamani kufahamu namna ya kuzipata faida zote hizo kwa kutumia juisi ya tangawizi basi usipate shida tupigie sasa kwa simu namba.

Tutafute kwa mawasiliano yafuatayo +255 716 300 200/ +255 784 300 300/ +255 769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.comNo comments:

Post a Comment