Monday, 4 July 2016

Zipate hizi faida 5 za juisi ya embe asubuhi


1. Husaidia kwa wale wenye tatizo la 'anemia' upungufu wa damu

2. Husaidia kuimarisha kinga za mwili

3. Hupunguza uwezekano wa kukumbwa na matatizo ya saratani

4. Huboresha afya ya tendo la ndoa

5. Husaidia kupambana na kiharusi ‘stroke’.

Kwa mawasiliano zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba +255 716 300 200/ +255 769 400 800/ +255 784 300 300

No comments:

Post a Comment