Saturday, 27 August 2016

Baadhi ya virutubisho vinavyopatikana kwa kula papai

Mpapai ambao kitaalam hujulikana kama Carica papaya, ni mti wenye tunda lenye virutubisho vingi ambao una asili na hulimwa na kustawi katika nchi za kitropiki.

Virutubisho vinavyopatikana kwenye papai

Vitamin A, E, C, B6

Madini ya calcium, magnesium, potassium, zinc, madini ya chuma, phosphorus

Afya njema ya macho hupatikana kwa kula tunda hili. Papai lina kiwango kikubwa cha Vitamini A na vitutubisho vingine.

Ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha matumizi ya lishe bora. Unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au Barua pepe dkmandaitz@gmail.com ili kupata ushauri zaidi. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.

No comments:

Post a Comment