Saturday, 13 August 2016

Faida 3 za msingi utakazopata mwilini mwako kwa kutumia karanga


Karanga zinasifika kwa kuwa na viini lishe vingi ambavyo ni muhimu kwa afya zetu wanadamu.

Leo ninazo hapa faida 3 zitokanazo na siagi ya karanga ambayo baadhi ya watu hupendelea kuitumia zaidi kwenye mkate.

Husaidia kulinda afya ya moyo.
Ndani ya karanga kuna mafuta yasiyosababisha cholesterol ndani ya mwili na  hivyo husaidia kupunguza uwezekano wa mtu kupatwa na matatizo ya moyo. 

Hurekebisha mmeng'enyo wa chakula
Ndani ya siagi huwa kuna kiwango cha 'f'iber' pia ambayo ni bora na muhimu kwa mfumo wa mmeng’enyo wa chakula.

Ina viinilishe vingi mhimu
Ndani ya siagi hii utapata kiwango cha protini pamoja na madini ya potassium na magnesium ambayo ni muhimu kwa utengenezaji na uimarishaji wa mifupa na kuimarisha kinga za mwili.

Unaweza kututembelea ofisi kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam ili kupata ushauri zaidi kuhusu lishe mbalimbali na namna ya kuziandaa. Au tupigie kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment