Wednesday, 10 August 2016

Faida 7 za mazoezi ya kutembea kiafya

Mazoezi ni muhimu katika kujenga afya za miili yetu na miongoni mwa mazoezi hayo ni pamoja na kutembea.

Mazoezi huwa na faida mbalimbali kiafya ikiwa ni pamoja na kuulinda mwili dhidi ya magonjwa yasiyoambukizwa.

Hizi hapa faida 7 za mazoezi ya kutembea:-
1. Humfanya mhusika kujisikia vizuri
2. Njia rahisi ya kuujenga mwili katika hali ya ukakamavu.
3. Hupunguza uwezekano wa matatizo ya shinikizo la damu.
4. Husaidia kuimarisha mifupa
5. Hupunguza hali ya mfadhaiko stress.
6. Husaidia kuongeza mzunguko wa damu ndani ya mwili.
7. Husaidia katika mfumo wa upumuwaji

Unaweza kupata ushauri zaidi chini ya taasisi ya The Work Up Tanzania (WUTA) kuhusu masuala ya mazoezi na masuala ya lishe bora tupigie kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandait@gmail.com

No comments:

Post a Comment