Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Tuesday, 23 August 2016

Faida za kuwa na uzito unaokubalika kiafya


Faida za kuwa na uzito unaokubalika kiafya ni hizi zifuatazo:-

1. Husaidia kuepuka na maumivu ya mara kwa mara ya viungo

2. Kupunguza uwezekano wa kuzongwa na magonjwa yasiyoambukizwa kama vile, kisukari pamoja na matatizo ya moyo.

3. Kuwa mkakamavu na mwenye afya bora zaidi.

Ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha matumizi ya lishe bora. Unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au Barua pepe dkmandaitz@gmail.com ili kupata ushauri zaidi. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.

No comments:

Post a Comment