Friday, 5 August 2016

Haya hapa mambo 4 ambayo hufanyika mwilini mwako kila unapokula matunda na mbogamboga


Ni vyema ukaanza kujitahidi kula matunda na mbogamboga kila siku kwani vyakula hivyo vina aina tofauti za vitamini na madini ambayo husaidia kuukinga mwili dhidi ya matatizo mbalimbali.

Miongoni mwa  faida za mbogamboga hizo na matunda ndani ya mwili ni pamoja na hizi zifuatazo:-

1. Hukinga viungo ndani ya miili yetu.
2. Hulinda afya ya macho, ngozi, meno na nywele.
3. Huwezesha mfumo wa usindikaji an ufyonzaji chakula mwilini pamoja na kufanya kazi vizuri na kutusaidia kupata choo bila matatizo.
4. Hutukinga dhidi ya maambukizi na magonjwa.

No comments:

Post a Comment