Tuesday, 23 August 2016

Hii ndio lishe bora inayopendekezwa kwakoUlaji wa chakula bora humaanisha ni ule ulaji wa vyakula tofauti vya aina mbalimbali kama vile matunda, mbogamboga pamoja na vyakula vya nafaka.

Lishe bora humaanisha kula chakula ambacho hakina mafuta mengi, sukari au sukari nyingi.

Ni bora kula matunda mengi kama maembe, ndizimbivu,papai , pera, chungwa, nanasi, mfano wa mbogamboga ni kama vile mchicha, spinachi nk.

Lishe bora itakusaidia wewe na jamii yako kuishi vyema, kuwa na afya bora, kufanya kazi vizuri na kuwa na bidii.

Ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha matumizi ya lishe bora. Unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au Barua pepe dkmandaitz@gmail.com ili kupata ushauri zaidi. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.

No comments:

Post a Comment