Wednesday, 3 August 2016

Hili ndio tunda ambalo linaelezwa kuwa na uwezo wa kutoa msaada kwa wenye saratani


Saratani ya matiti ni moja ya magonjwa yasiyoambukizwa ambayo huwapata wanawake

Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) linakadiria kuwa hadi ifikapo mwaka 2020 idadi ya kesi za saratani ya matiti itaongezeka kwa kiwango kikubwa, huku wakitabiri kuwa huenda ikawa kati ya wanawake 8 mmoja atakuwa katika hatari ya kukumbwa na tatizo hilo.

Sasa hapa leo nimeona tufahamishane hili tunda moja ambalo  huweza kusaidia kupambana na saratani ya matiti.

Komamanga.

Hili ni miongoni mwa tunda ambalo linaelezwa kuwa na nafasi nzuri ya kupambana na tatizo hilo kutokana na kuwa na kirutubisho kiitwacho polyphenol -an allergic acid pamoja na anti- oxidants ambavyo huweza kulinda mwili dhidi ya tatizo hilo.

Unaweza kuwasiliana nasi kwa ushauri zaidi kupitia namba za simu zifuatazo 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.co,


No comments:

Post a Comment