Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Tuesday, 9 August 2016

Hivi ndivyo wanawake wanavyochangia tatizo la upungufu wa nguvu za kiumeMalalamiko ya wanaume kupungukiwa nguvu za kiume yamekuwa yakishika kasi na zimekuwa zikitajwa sababu mbalimbali za tatizo hilo ikiwa ni pamoja na vyakula ambavyo si rafiki kiafya pamoja na tabia ya kujichua.

Leo napenda tufahamu namna mwanamke anavyoweza kuchangia tatizo hilo kwa mwanaume:-

1. Kauli
Miongoni mwa mambo ambayo mwanaume hataki kuyasikia yakitoka kwenye kinywa cha mwanamke ni kuambiwa HAWEZI TENDO LA NDOA. Mwanamke akimwambia mwanaume wakati au baada ya tendo kuwa hawezi, atakuwa amemsababishia tatizo kubwa la kisaikolojia ambalo litampelekea kupotea nguvu za kiume taratibu.

2. Usafi
Mwanamke anapokuwa si msafi, huweza kumsababishia mwanaume matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume. Uchafu ni moja ya kero wakati wa tendo, hivyo ni wazi kuwa mwanamke akiwa mchafu atamfanya mwanaume apoteze msisimko na uwezo wa tendo la ndoa.

3. Michepuko / usalitiTabia ya usaliti kwa mwanamke ni chanzo kingine cha mwanaume kupata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Mwanaume anapohisi au kubaini kuwa anasalitiwa.

4. UjuziWanawake wengi hasa waliopo kwenye ndoa, wanapuuza ujuzi kwenye tendo la ndoa. Hawajishughulishi kumsaidia mwanaume huweza nao kuwa chanzo cha tatizo hilo kwa mwaume.

Unaweza kutupigia zaidi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

2 comments: