Thursday, 11 August 2016

Hizi ndio faida 6 za kufanya mazoeziZifuatazo ni moja ya sababu 50 mhimu za kufanya mazoezi kwa afya bora na maisha marefu bila maumivu:

1. Hupunguza msongo wa mawazo
2. Hukufanya usizeeke mapema 
3. Husaidia kuimarisha afya ya ngozi
4. Husaidia kuulinda mwili dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza
5. Huongeza uwezo wa kufikiri
6. Huongeza uwezo wa kujiamini

Ushauri huu umetolewa na shirika liliso lakiserikali liitwalo The Work Up Tanzania (WUTA) unaweza kuwasiliana nao zaidi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment