Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Tuesday, 9 August 2016

Hizi ndio faida zinazopatikana kwa kula mayai

Eggs
Mayai ni moja ya vyakula ambavyo vinaingia kwenye orodha ya vyakula ambavyo ni vyakula bora,
Mayai yamejaa viini lishe muhimu na vingi kati ya hivyo viini lishe havipatikani kirahisi katika vyakula vingi vya kisasa.

Zifuatazo ni faida 10 za kiafya zitokanazo na kula mayai kama zilivyothibitishwa katika tafiti nyingi duniani:

1. Mayai yana virutubisho vya kushangaza
Yai moja kubwa lililochemshwa lina:

Vitamin A: 6%
Folate: 5%
Vitamin B5: 7%
Vitamin B12: 9%
Vitamin B2: 15%
Phosphorus: 9%
Selenium: 22% o

Mayai pia yana kiasi cha kutosha cha Vitamini D, Vitamini E, Vitamini K, Vitamini B6, kalsiamu na zinki.

Yai moja pia linakuja na kalori au nishati 77, gramu 6 za protini na gramu 5 za mafuta yenye afya au mafuta safi kwa ajili ya mwili (healthy fats).

Mayai pia yana viinilishe vingine vidogo vidogo (trace nutrients) ambavyo ni mhimu kwa afya bora.

Hakika… mayai ni chakula ambacho ni karibu kimejikamilisha, mayai yana karibu kila aina ya kiinilishe mhimu tunachokihitaji kila siku.
Tunatoa huduma za ushauri kuhusu virutubisho tiba na masuala mbalimbali kuhusu matunda tupigie kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmai.com

No comments:

Post a Comment