Thursday, 18 August 2016

Huu hapa uwezo wa juisi ya machungwa kwenye afya ya ngozi yako

Chungwa ni miongoni mwa matunda ambayo husaidia sana kuimarisha afya ya ngozi na kuipatia uhalisa wake.

Je, ungependa kufahamu namna ya kulitumia tunda hili ili kuboresha afya ya ngozi yako?

Jambo la kufanya ni kukamua juisi ya machungwa halafu utaitumia juisi hiyo kupaka usoni na kuiacha kwa dakika kama kumi hivi kisha osha kwa maji safi na salama, baada ya wiki kadhaa utaona mabadiliko katika ngozi yako.

Unaweza kututembelea ofisi za WUTA zilizopo, Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam ili kupata ushauri zaidi kuhusu lishe mbalimbali na namna ya kuziandaa. Au tupigie kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment