Thursday, 4 August 2016

Je, unafahamu kuhusu mafuta ya mbegu za karoti? soma hapa


KAROTI ni moja ya tunda au kiungo pia ambacho kimesheheni virutubisho vingi ikiwa ni pamoja na vitamin K.

Karoti ni moja kati ya kiungo chenye uwezo wa kupunguza matatizo yafuatayo:

Husaidia kupunguza tatizo la macho

Hulinda afya ya tumbo.

Husaidia kulinda mwili dhidi ya matatizo ya saratani, matumizi ya mafuta yatokanayo na mbegu za karoti husaidia sana kupunguza tatizo hilo . Kwa mujibu wa jarida utafiti uliofanyika mwaka 2009 na Pharmacognosy Magazine walibaini kuwa bidhaa nyingi zenye uwezo wa kupambana na miale ya jua kwenye ngozi zimekuwa zikitengenezwa kutokana na mbegu  za karoti.

Kwa ushauri zaidi kuhusu lishe tiba tutafute kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300 / 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment