Wednesday, 10 August 2016

Je, unazifahamu dalili za bawasiri? zipo hapa

Bawasiri ni ugonjwa katika njia ya haja kubwa, hujitokeza kama uvimbe au kijinyama ambacho huweza kuonekana hadi nje. Kwa kingereza ugonjwa huu hujuliakana kama hemorrhoids.

Hakuna sababu za moja kwa moja inayojulikana kisayansi kwamba ndiyo husababisha ugonjwa huu.

Dalili za bawasiri
1. Kupata maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa
2. Kuhisi harufu ya damu wakati wa kujisaidia
3. Muwasho sehemu ya haja kubwa
4. Uvimbe au kinyama kujitokeza sehemu ya tundu la haja kubwa
5. Haja kubwa yaweza kujitokea muda wowote

Moja ya mimea tiba ambayo huweza kusaidia tatizo hili ni pamoja na Aloe Vera. Kama utahitaji  kufahamu zaidi namna ya kutumia mmea huu kwa tatizo hilo wasiliana nasi kwa simu namba hapo chini

Tunatoa ushauri wa matatizo mbalimbali ya kiafya pamoja na masuala ya kujikwamua kiuchumi kwa kutumia rasilimali zetu. Tupigie sasa kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com


No comments:

Post a Comment