
Miongoni mwa sababu zinazoweza kuchangia maumivu ya kiuno ni pamoja na uzito mkubwa wa mwili, kukaa isivyostahili kwa muda mrefu, kusimama muda mrefu au kubeba mizigo mizito.
Sasa bila kupoteza muda wako sana napenda kukushauri kutumia kitunguu swaumu kama moja ya suluhisho la tatizo hilo unachopaswa kufanya ni kama ifuatavyo:
Andaa punje zako zisizopungua tano za kitunguu swaumu menya vizuri kisha zisage halafu baada ya hapo tumia rojorojo yake kuchua sehemu zilizoathirika (zenye maumivu) taratibu. Fanya zoezi hilo asubuhi na jioni kwa muda wa wiki moja.
Unaweza kutupigia simu ili kupata ushauri zaidi wa kutumia lishe bora pamoja na vitu ambavyo vinatuzunguka katika maisha yetu ya kila siku. Tupigie kwa simu namba +255 716 300 200/ +255 769 400 800/ +255 784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.
Tunapatikana Dar es Salaam, Ukonga, Mombasa eneo la Mongolandege
No comments:
Post a Comment