Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Wednesday, 24 August 2016

Makundi manne ya wanaume wenye uwezekano wa kupatwa na pungufu wa nguvu za kiume

Upungufu wa nguvu za kiume n ile hali ya mwanaume kushindwa kusimamisha uume na pia kushindwa kuendelea kubaki imara wakati wa tendo la ndoa. 

Yafuatayo ni makundi ya wanaume ambao huweza kupata tatizo hilo:-

1. Wenye matatizo ya kiafya, kama ugonjwa wa kisukari na ugonjwa wa moyo, lakini si lazima kila mwenye matatizo hayo akawa na tatizo hilo pia.

2. Watumiaji wa dawa za kulevya pamoja na pombe.

3. Wenye msongo wa mawazo,sononi na wasiwasi

4. Wenye uzito mkubwa, hasa walio wanene.

Ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha matumizi ya lishe bora. Unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au Barua pepe dkmandaitz@gmail.com ili kupata ushauri zaidi. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.

No comments:

Post a Comment