Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Wednesday, 17 August 2016

Mambo matano yakuzingatia wakati wakumlisha mtoto chakula1. Hakikisha haumuachi mtoto mdogo na chakula au kinywaji bila uangalizi hata kama ni maziwa ya chupa asije akapaliwa.

2.  Usimpe mtoto chakula au maziwa akiwa amelala, analia au anacheka. 

3. Usimpe chakula ambacho kinaweza kumkaba au kumpalia kama karanga, maindi, zabibu n.k 

4. Kabla ya kumpa mtoto chakula hakikisha umekiangalia joto lake usije ukamuunguza mdomo. 

5. Usafi wa mtayarishaji, mlishaji na mlishwaji ni muhimu sana.
Unaweza kututembelea ofisi za WUTA zilizopo, Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam ili kupata ushauri zaidi kuhusu lishe mbalimbali na namna ya kuziandaa. Au tupigie kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment