Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Tuesday, 30 August 2016

Njia zinazoweza kukupa ahueni kama unatatizo la nguvu za kiume


Huenda umekuwa ukisumbuliwa na tatizo la ukosefu wa upungufu wa nguvu za kiume na umeshindwa kujua nini ufanye ili kutatua tatizo hilo.

Yafuatayo ni mambo ambayo ukizingatia wewe mwanaume mwenye tatizo hilo unaweza kupata ahueni:-

Epuka matumizi ya pombe.
Matumizi ya pombe huweza kukushawishi kufanya tendo la ndoa lakini pia pombe hiyo hiyo huweza kumnyima mhusika uwezo wa kushiriki tendo la ndoa. Hivyo kama unapenda kuepuka tatizo hilo jitahidi kuepukana na matumizi ya pombe.

Jitahidi kushiriki kufanya mazoezi
Watu wengi hujikuta wakisongwa na magonjwa mbalimbali kutokana na kutofanya mazoezi, lakini pia ni vyema ikafahamika kuwa mazoezi husaidia hata kufanya mzunguko wa damu kuwa mzuri ndani ya mwili jambo ambalo pia husaidia kwenye masuala ya tendo ya ndoa.

Jitahidi kupata muda wa kutosha wa kulala, kutolala nako huweza kuchangia tatizo hilo

Ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha matumizi ya lishe bora. Unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au Barua pepe dkmandaitz@gmail.com ili kupata ushauri zaidi. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.

1 comment: