Monday, 8 August 2016

Tuache kula kula bila mpangilio, leo tufahamu kuhusu huu mlo unaofaa


Wengi wamekuwa wakijiuliza ni kwa namna gani watakula mlo unaofaa, lakini kuna wengine ambao mara kadhaa wamekuwa wakituuliza kuhusu mlo unaofaa unakuaje?

Majibu ya swali hilo yapo hapa chini:-

Mlo unaofaa hutokana na kula chakula mchanganyiko na cha kutosha ambacho huweza kukidhi mahitaji ya mwili. 

Ulaji unaofaa pia huzingatia matumizi ya kiasi kidogo cha chumvi, mafuta, sukari, ulaji wa nyama nyekundu kwa kiasi kidogo.

Ni muhimu kuzingatia ulaji wa mboga mboga, matunda, na vyakula vya jamii ya kunde kwa wingi ili kudumisha uzito wa mwili unaotakiwa na kupunguza magonjwa yasiyo ya kuambukiza.

Kama na wewe pia utakuwa na swali au unahitaji ushauri kuhusu masual aya lishe bora na mpangilio wa mlo usisite kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com. Pia unaweza kufika katika ofisi zetu za The Work Up Tanzania (WUTA) ambapo utakutana na wataalam mbalimbali wamasuala ya lishe tupo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment