Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Friday, 19 August 2016

Usiyoyajua kuhusu kitunguu maji na sifa zake

Kitunguu maji ni moja ya kiungo ambacho hutumika sana jikoni katika mapishi ya vyakula mbalimbali, lakini kiungo hiki pia kinamsaada kwa afya zetu.

Mtaalam Abdallah Mandai anaeleza kuwa kwa wale wenye shida ya haja ndogo (mkojo) kuuma anaweza kutumia kitunguu maji na kumpatia ahueni.

Pia mtaalam huyo anabainisha kwamba matone ya maji ya kitunguu huweza kusaidia kutuliza maumivu ya sikio 


Matatizo mengine yanayoweza kutatuliwa na kiungo hiki ni pamoja na kikohozi pamoja na matatizo ya ngozi.

Pia husaidia kurekebisha mmeng'enyo wa chakula tumboni pamoja na kuimarisha kinga za mwlili kutokana na kuwa na vitamin C ya kutosha.

Kama ungependa kufahamu zaidi namna ya kutumia kitunguu maji kwa matatizo hayo unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Unaweza kututembelea ofisi za WUTA zilizopo, Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam ili kupata ushauri zaidi kuhusu lishe mbalimbali na namna ya kuziandaa

No comments:

Post a Comment