Kisukari ni ugonjwa unaotokana na mtu kuwa na sukari nyingi kupita kiasi kwenye damu. Ugonjwa huo huvuruga utaratibu wa kuingiza sukari ndani ya chembe kutoka kwenye damu kwa kuwa chembe huhitaji sukari ili kupata nishati.
Sasa leo ninayo orodha ya matunda ambayo huweza kutoa ahueni kwa watu wenye matatizo ya kisukari.
Nanasi
Peazi (Pears)
Ni tunda nzuri kwa wenye tatizo hilo kutokana na kuwa na vitamin za kutosha pamoja na nyuzinyuzi pia.
Papai
Nalo ni kati ya matunda yenye umuhimu pia kwa wenye shida ya kisukari kutokana na kusheheni vitamin nyingi pamoja na madini.
Chungwa
Ni tunda ambalo linapendekezwa na wataalam kutumiwa na wenye kisukari angalau kila siku kwani limesheheni vitamin C.
Tikitimaji
Ni tunda nzuri pia kwa wenye shida ya kisukari
Komamanga
Tunda hili nalo husaidia kuweka sawa kiwango cha sukari ndani ya damu
Pindigesi (Peaches)
Matunda haya mara nyingi yamekuwa yakipatikana sana Iringa kwa hapa Tanzania nayo yanawafaa pia wenye tatizo la kisukari.
Kwa ushauri zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com
No comments:
Post a Comment