Saturday, 13 August 2016

Zifahamu hizi faida 7 za ubuyu kiafya weekend hii


1. Ubuyu una vitamini C nyingi mara 6 zaidi ya ile inayopatikana kwenye machungwa.
2. Ubuyu pia umesheheni kiwango kikubwa  cha madini ya calcium zaidi ya kile kinachopatikana kwenye maziwa ya ng’ombe.
3. Pia ndani ya ubuyu kuna madini ya chuma, magnesiamu pamoja na potasiamu. madini ya magnesium husaidia kujenga afya ya mifupa.
4. Husaidia kujenga neva za fahamu mwilini
5. Ina virutubisho vyenye uwezo wa kulinda mwili kutokana na kuwa na vitamin C yakutosha
6. Huongeza nuru ya macho
7. Husaidia kuzuia kuharisha na kutapika

Ushauri huu umetolewa na shirika liliso la kiserikali liitwalo The Work Up Tanzania (WUTA) unaweza kuwasiliana nasi  zaidi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment