Monday, 22 August 2016

Zipo hapa sifa za mafuta ya karangaWatu wengi tunakula karanga pasipo kufahamu umuhimu wake katika afya zetu, kwani miongoni mwetu hudhani karanga ni kama kiburudisho tu, lakini ukweli ni kwamba karanga si chakula cha kupuuzwa kutokana na faida zake.

Faida za mafuta ya karanga kiafya

Kwanza ni mazuri kwa afya ya moyo,

Husaidia kulinda afya ya ngozi ikiwa ni pamoja na kuondoa tatizo la chunusi .

Husaidia kutuliza maumivu ya tumbo

Mafuta ya karanga ni mazuri kwa shughuli za uchuaji wa viungo

Pia mafuta ya karanga husaidia umeng’enyaji wa chakula tumboni

Ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambali linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi. Unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com ili kupata ushauri zaidi. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.

No comments:

Post a Comment