Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Saturday, 10 September 2016

Chanzo cha tatizo la kuota kinyama sehemu ya haja kubwa na uwezo wa kabeji kwa tatizo hilo

Je, unafahamu kuhusu bawasiri ? Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kutoka kinyama au uvimbe.

Ugonjwa huu wa bawasiri kwa lugha ya kitaalamu hufahamika kama 'hemorrhoids' tatizo hili huwaathiri watu wote ila zaidi huwaathiri watu wazima kuliko watoto.

Chanzo cha tatizo
Chanzo halisi cha tatizo hili hakijapatikana ila kuna vitu ambavyo huaminika kuwa chanzo cha kupata tatizo hilo la bawasiri ambavyo ni hizi zifuatazo:-

1. Kushiriki mapenzi kinyume na maumbile
2.Kusumbuliwa na tatizo la kukosa choo kwa kipindi kirefu
3. Kupatwa na tatizo la kuharisha kwa kipindi kirefu
4. Umri
5. Kuwa na uzito kupita kiasi
6. Kukaa kwa muda mrefu

Mara nyingi tatizo hili huondolewa kwa kukatwa kinyama hicho baada , lakini pia si vibaya ukatambua kuwa hata kabeji huweza kusaidia kutatua tatizo hilo. Kama ungependa kufahamu namna gani utaweza kuitumia kabeji ili kuondokana na tatizo hilo basi usisite kutupigia kwa simu namba 0716 300 200/ 0769 400 800/ 0784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha matumizi ya lishe bora. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi

No comments:

Post a Comment