Advertisement

Advertisement

Shop

Shop

Mixer

Mixer

Thursday, 29 September 2016

Kumaliza tatizo la upungufu wa nguvu za kiume lililotokana na kujichua


Mazoezi
Jitahidi kufanya mazoezi yeyote angalau nusu saa kwa siku. Mazoezi husaidia kurahisisha mzunguko wa damu na hivyo kufika vizuri kwenye viungo vya uzazi yaani (uume).

Kula chakula bora cha asili
Jitahidi kuzingatia matumizi ya vyakula asili ikiwa ni pamoja na mbogamboga na matunda, epuka matumizi ya vyakula vya viwandani kwani asilimia kubwa huwa na kemikali nyingi.

Kunywa maji mengi sana
Munguko mzuri wa damu mwilini hutegemea sana kiwango kizuri cha maji ndani ya mwili na hivyo kurahisisha mzunguko wa damu kwenda vizuri kwenye uume. 

Lakini pia ni vyema kuhakikisha umeacha kujichua kabisa na kufuta mawazo ya tendo hilo akilini mwako.

Mbali na hayo, unaweza kutumia tangawizi kama kinywaji ambayo husaidia kuimarisha mzunguko wa damu mwilini,Kwa ushauri zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba +255 716 300 200/ +255 769 400 800/ +255 784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha jamii kuhusu matumizi ya lishe bora. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.

No comments:

Post a Comment