Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Wednesday, 21 September 2016

Manufaa ya matumizi ya unga wa mdalasini

Mdalasini ni moja ya kiungo kizuri ambacho hutumika kuongeza ladha nzuri katika kinywaji.

Mdalasini unaweza kutumika kuanzia magome, na mafuta yatokanayo na magome na kwenye majani.

Unapotumia unga wa magome yake huweza kupunguza matatizo mbalimbali kiafya ikiwa ni pamoja kusaidia kufanya uzazi kuwa karibu, ambapo kiungo hicho kitachanganywa na asali.

Pia matumizi ya mchanganyiko huo wa asali na mdalasini husaidia kuondosha lehemu (cholesterol) ndani ya mwilini

Pia mdalasini na asali husaidia kutuliza mafua pamoja na kikohozi

Mbali na hayo pia mdalasini husaidia kuzuia tatizo la gesi tumboni, kichefu chefu na kutapika.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200, 0769 400 800, 0784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha matumizi ya lishe bora. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.

No comments:

Post a Comment