Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Friday, 9 September 2016

Namna ya kutumia asali kwenye ngozi yako


Asali imekuwa ikisifika kwa uwezo wa kutoa ahueni dhidi ya matatizo mbalimbali kiafya yakiwamo masuala ya afya ya ngozi.

Asali inauwezo mzuri wa kulainisha ngozi pamoja na kuondoa ukavu wa ngozi yako na hata kuwasha.

Jambo la kufanya ni kuchanganya vijiko vya mezani viwili vya asali na vijiko viwili vya mezani vya maziwa. Kisha paka mchanganyiko huo katika uso wako na kupumzika kwa dakika kama kumi hivi.

Fanya zoezi hilo kwa muda wa wiki kadhaa ili kuona matokeo mazuri zaidi kwenye ngozi yako 

Kwa maelezo zaidi usisite kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0769 400 800/ 0784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha matumizi ya lishe bora. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.

No comments:

Post a Comment