Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Thursday, 29 September 2016

Sababu 3 ambazo huweza kuchangia ugumba kwa wanawake

Ugumba ni hali ya mwanamke kutopata ujauzito baada ya kushiriki tendo la ndoa kwa muda mrefu .

Zifuatazo ni baadhi ya sababu ambazo huweza kuchangia tatizo hilo:-

Tabia za utoaji mimba
Hali hii nayo huweza kuchangia tatizo hili la ugumba, utoaji mimba unahatari kubwa kwa mhusika na kuweza kupelekea makovu kwenye mfuko wa uzazi, makovu ambayo huchangiwa na vifaa ambavyo hutumika katika zoezi la utoaji mimba.

Msongo wa magonjwa
Mwanamke huweza kujikuta akikabiliwa na tatizo hili endapo atakuwa akisongwa na magonjwa mara kwa mara ambayo huweza kufuluga mfumo mzima wa homoni za uzazi. Mfano wa magonjwa hayo ni pamoja na kisukari au ini nk

Matumizi ya vileo
Unywaji wa pombe au uvutaji wa sigara huweza kuchangia tatizo la ugumba kwa wanawake.

Hayo ni machache, lakini kwa mengine mengi zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba +255 716 300 200/ +255 769 400 800/ +255 784 300 300.

Ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha jamii kuhusu matumizi ya lishe bora. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.

No comments:

Post a Comment