Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Friday, 2 September 2016

Siri 5 zilizojificha ndani ya karafuu


Zipo faida kadhaa za matumizi ya karafuu ambazo wengi wetu tumekuwa tukizifahamu ikiwa ni pamoja na kutumika kama kiungo cha kutuliza matatizo ya meno.

Leo ninazo hizi sifa nyingine za kiungo hicho kama ifuatavyo.

1. Hupunguza tatizo la tumbo kujaa gesi.

2. Hutuliza matatizo ya maumivu ya koo.

3. Hupunguza uwezekano wa tatizo la vidonda vya mdomoni

4. Husaidia sana kupunguza kiwango cha sumu mwilini cholesterol.

5. Husaidia kurekebisha mzunguko wa damu ndani ya mwili.

Ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha matumizi ya lishe bora. Unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au Barua pepe dkmandaitz@gmail.com ili kupata ushauri zaidi. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.

No comments:

Post a Comment