Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Friday, 23 September 2016

Tumia mbinu hizi 4 rahisi za kukabiliana na harufu mbaya mwilini bila 'perfume'

Tatizo la harufu mbaya ni moja ya mambo ambayo huweza kumkosesha raha mhusika na mra nyingine kujikuta anashindwa hata kuchangamana na watu wengine.

Zifuatazo ni mbinu ambazo huweza kukusaidia kuondokana na tatizo hilo:-

1. Kwanza ni kuhakikisha unabadili nguo za ndani (chupi) mara kwa mara na kuzifua vizuri.

2. Pili nguo hizo za ndani ni vyema zikiwa zile zilizotengenezwa kwa kitambaa cha pamba.

3. Tatu ni kujitahidi kufanya usafi vizuri kwenye maeneo ya siri yote kila pale hali inapokuwa mbaya.

4. Mbali na hayo, ni vizuri kujitahidi kunywa maji mara kwa mara pamoja na matunda kwa wingi.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200, 0769 400 800, 0784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha matumizi ya lishe bora. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.

No comments:

Post a Comment